Tuesday, February 15, 2011

MKESHA WA MAULID NDANI YA COCO STAR CLUB LEO NA MAPACHA WATATU


Natumaini mmekuwa na siku nzuri ya Muwapendao..Ya kwangu ilienda vizuri sana. Leo mapacha tupo pale pale kiwanja cha home Star Coco. Njoo Tuchakachue basi pamoja.

 
 


Yees..Siku zote watu wa Amani

..Watulivu pia lakini Hatarii kwenye kazi

KARIBUNI BADAE BASI
 

2 comments:

Anonymous said...

Pamoja Mapacha tupo hapo leo na nyie.

Anonymous said...

Vipi Jose Mapacha Kili awards mmeingiza ngapi?

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA