Wednesday, August 4, 2010

RIP MAMA MAGRETTH MPUKA


Mama Magreth Mpoki Alikuwa akiishi Kimara Temboni Maduka saba. Alifariki Ghafla Tarehe 1 August. Alikuwa Akisumbuliwa na Ugonjwa wa Moyo.
Marehemu alikuwa mtu wa watu sana, mimi binafsi nilimfahamu kupitia club ya Veteran ya Temboni.
Tulimzika katika shamba lake Kule Mbezi Mpiji Magoe
Mungu Ailaze Roho ya marehemu Mahala pema peponiIbada ya Mazishi

Baadhi ya Watoto Wa Marehemu

Wakazi wa Temboni tukimpumzisha Mama Mpuka kwenye nyumba yake ya milele 


Nami nikiwakilisha Temboni Veterans na Social Club kuweka Ua

Baadhi ya Wanachama wenzake na Marehemu wa temboni Veterans

"BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE" AMEN

1 comments:

Anonymous said...

Afadhali yako Jirani unajali shuguli za kijamii. Wengine wanajiona masupastaa hata hawasalimii barabarani. Endelea na moyo huo. Atakaekusaidia katika shida humjui

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA