Wednesday, August 4, 2010

FM ACADEMIA NDANI YA MJI KASORO BAHARI ILIKUWA HIVII


Wiki iliyopita ilikuwa na Mikiki balaa.
Sasa Nimerudi Rasmi. wiki hii kidogo mambo yatakuwa shwari.

Jumamosi Tulikuwa Morogoro ndani ya ukumbi wa Kingstone

Burudika na picha hapo chini.


Kama Kawaida Vimwana wa Ngwasuma wakitoa Shoo

Huyu Hapa ni Drummer wa FM Chid Ngoma Balaa

Rapa Mwingine wa FM Anakwenda kwa Jina la Hitler .. Kama Umesikia Rap ya Zomboo Na Matembelee Zombo Na Matembele..Jamaa ndie Mhusika Anakimbiza.

Hapo Je? Xbase Kundungu


Elombee Kichinja akiwa na B52

Na Hapa Chini Ni Fans Morogoro..Palikesha siku hiyo



Watasha Ndani Ya Ngwasuma


Nikiwa na Fans.


Mdau Wa Morogoro.

5 comments:

Anonymous said...

Eeeh Mamaa Chips Mayai Kuku..Kulia Pa paaa..Kushoto Papaaa..Mabega ta taaa Rudi Nyuma Eehh Zombo na Matembelee zombo na Matembele Balaa Kaka Ngwasuma Juu

Anonymous said...

big up shemeji yetu kwa monica unajitaidi na blog yako

Anonymous said...

uko juu baba mon.endelea kutupa mambo

Anonymous said...

auncle
we mkali sana.

Anonymous said...

Nilimiss,i wish ningekuwepo...nawapenda sana ngwasuma hata nikiwa peke yangu huwa naenda tu bora nienjoy,mko juu sana,kazeni buti..sidhani kama kuna bendi inawafikia labda akudo kidogooooo..usimuone amenuna eeh anapenda vya bure...mayemba mayemba..akinubusu utamu,akinilamba utamu,utamu wa vanila eeeh utamu

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA