Saturday, July 24, 2010

MISS OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA EXCELLENCE 2010


Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Exellence Open Unirversity of Tanzania 2010 Christin Justin (kati) akiwa na washindi wengine kwenye shindano hilo usiku wa kuamkia leo kwenye kampas ya chuo hicho eneo la Biafra Kinondoni. Kushoto kwake ni mshindi wa tatu Jaquiline Mwombeki na kulia kwake ni mshindi wa pili Glory Mushi.
Tano bora ya Vodacom Miss Exellence OUT 2010
Washiriki 11 waliochauna
Mtu mzima nikiwa nimekula pozi na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa OUT,Bw. Albert Memba katika onyesho la urembo la Open University of Tanzania Excellence 2010 lililofanyika usiku wa jana katika makao makuu ya chuo hicho yaliyopo Kinondoni Biafra.FM academia ndio waliopambisha onyesho hilo kwa burudani kabambe kabisa.(Picha kwa hisani ya Blog Ya Issa Michuzi.)

2 comments:

Anonymous said...

Jose mara mzee wa Pamba kweli we kiboko. Kila nguo na kiatu chake?naona kiatu cha blue kwa mbali.

Anonymous said...

Ndiyo, labda kwa hivyo ni

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA