Jana Tuliendelea na Shooting ya Jasho la mtu. Kazi inatoka wiki ijayo kwenye TV
DKT. ASHATU ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE KONDOA
-
*Mbunge wa Jimbo la Kondoa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu
Kijaji, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi
(C...
11 comments:
Mmependeza sana yaani. Tunaisubiri kwa hamu video
Hivi kwa nini msiachane na hayo mabendi yenu mkaanzisha kitu chenu jamani? Nyimbo zenu nzuri sana. Sikujua kama kalala Jr anajua kuimba mpaka nilipoiona kazi ya mapacha. Kule mnabanwa sana vipaji hatuvioni
Hao wasichana wameolewa. Nataka niwachukue wote waje kula bata kwangu. Hao wawili tu. Pedesheee
Mimi naungana na mchangiaji aliyenena kwamba bendi zinawaba,
ila taratibu ndio mwendo slowlyslowly mtajikuta mnatoka kivyenu mmiliki mavog na prado na si kuchumia wenye bendi huku mkibaki na vikorola hahaha
We nawe umeona mali ni vogue na ma prado tu. wengine wanawekeza kwa kujenga au ku invest magari ni ufahali usio na maana bora niwe na kololoa lakini nina viwanja na majumba alaa. vijana kazeni buti na hata mkizipata mkazibukia mavog ntawazalau sana.
hongereni cna u are doing great keep up the spirit
@rene
Mmependeza sana jamani!kwa kweli tunaisubiri kwa video!!all the best guys.
Mmependeza sanaaa,jose macho yako ni mazuri sana huwa sipendi nikikuona umevaa miwani..hop kazi itakuwa poa
Nimependa sana blog yako. Naomba nikupe ushauri pia jaribu na kuweka pia picha matukia muhimu ya familia yako ili kuikuza zaidi blog yako na ili kuvutia watu zaidi. ila kazi ni nzuri sana unafanya, hongera sana.
Nimekuona kwenye ukurasa wa Facebook wa Bonzo Kwembe nikabofya na sasa nabahatika kuingia hapa "kibarazani"
Kazi njema na naamini utaendelea kuhabarisha saana katika tasnia hii ya habari
Karibu katika ulimwengu wa kublogu na naamini utatumia vema uwezo na uzoefu wako kutuelimisha wadau
Blessings
Hao warembo jiose wanaitwaje majina yao please
Post a Comment