Tuesday, July 27, 2010

Happy Belated Anniversary kutoka New Africa Hotel.


Leo Wife kapokea kamzigo kutoka kwa Wadau wa New Africa Hotel.


Kufungua ndani nakutana na cake zawadi ya wedding anniversary Asanteni sana. Grace na Punim asante kwa kutujali wateja.


Hii inaonyesha ni jinsi gani Baadhi ya Hotel zinavyojali Wateja Wake. Mimi Nimewapenda sana na binafsi sitaacha kukitembelea kiwanja kile.
Wana Huduma za kila aina pale, Umeshajaribu Buffet Lunch Yao? Vipi Casino pale , Bottleneck Bar kwa Happy Hour.



Pia Nimewahi Kutumia Pool side yao Nilifanyiwa Sapraizi Birthday "Cocktail Party" na wife. Nakumbukia zile snacks za ile cocktail USIPIME



Basi Kesho Jumatano Tarehe 28 July Wana kitu yao pale. "Little Black Dress" Utakutana na Muziki Mzuri, Cocktail za Kumwaga kwa Shilingi 5000/- tuu. Soma hapo chini kipeperushi .Piga Black yako saafi afu tukutane pale.


  
WAREMBOO WA MUJINI MPO?

4 comments:

Anonymous said...

mamy monica ure trying so hard to this men. ure one of I WANNA BE,

Anonymous said...

Ama! Kivipi sasa? we Anony hapo juu kwanza kizungu chako sikielewi.sasa asijitahidi kwa mume wake? au ni Hawala? ndio maana ya ndoa kwa shida na raha si ndio mnakubaligi tu makanisani maana mnaijua. Hongera sana dada. Endelea kumsapoti mume wako. akianguka mnaanguka wote. mshikamane.usisikilize wanayosema watu.

Kila said...

We hapo juu tena ni mwanamke ndio zenu kuitana Mami mamy mamie..kakuzaa? asa we kimekuuma nini hiyo surprise. angejitahidi akufanyie wewe? Jose na Mkeo anagalieni hao "Mami mami" haoo. ni marafiki wa karibu watawaharibia ohoo. Ningepata mke kama huyo ningenenepa. wangu besidei inapita hata hakumbuki.

Anonymous said...

Bonge la couple. mi naona hata picha zao FB. na ni rafiki wa karibu wa familia. NAWATAMANI sana. Mwanamke kujituma kwa mumewe. Mwanaume kumjali mkewe. wachache wanayajua hayo. They are blessed kwa kweli.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA