Wednesday, July 28, 2010

FM ACADEMIA STUDIONI


Jana Tuliendelea na kazi ya Kumalizia Album yetu mpya pale Metro Studio Oysterbay chini ya produzya mkali Allen Mapigo. Album mpya ya FM Academia inatarajiwa kuzinduliwa siku si nyingi kutoka sasa. ina mipini ya ukweli kama ule wa Vuta nikuvute, Heshima kwa wanawake, Usiku wa Jumatano na Nyingine kibao. vuta Subra ntakuhabarisha zaidi.

Prodyuza Allen Mapigo akirekebisha mambo

jembe lenu Jose Mara nikiwa na Raisi wangu Nyoshi El-sadat
Mwimbaji wa FM Jesus akiingiza vocal zake


Rapa wetu Mahiri Kitokololo "Kuku" baada ya kazi kachooka


Mmoja wa Wapenzi wa FM Steve Baunsa (Mwenye shati jeusi Kulia) Alitutemebela studioni 
...Usimdharau usiye Mjuaa we weeee Mamaaaa...... Fm Academia Ni Nooma.

2 comments:

Anonymous said...

Safi sana tunasubiri

Flower said...

Kwa kweli tunaisubiri kwa hamu!!all the best guys!

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA