Kila jumapili Mapacha Tuko Mzalendo pub na kila jumanne coco star club beach na Alhamis ni Pale Club Sunciro Sinza. Hawa Wakinadada Ni CREAM ya Dancers Tanzania. Niamini mimi. Njoo uone wakichakachua Halafu Utaniambia..
JENGO LA MAKAO MAKUU BENKI YA CDRB LAPEWA CHETI CHA KIMATAIFA CHA KUTUNZA
MAZINGIRA
-
* Benki ya CRDB imeandika historia nyingine kwa kupokea cheti cha kimataifa
cha masuala ya mazingira baada ya jengo lake la Makao Makuu kukidhi vigezo
vya ...
1 comments:
werawera kwa raha zenu
Post a Comment