Monday, October 24, 2011

HAPPY BIRTHDAY TO MY SON MICHAEL


Jumamosi ya tarehe 22 October kijana wangu wa kwanza Michael Alitimiza Miaka 6. Tulimpeleka Lunch Kifamilia zaidi Pale Spur kukata cake yake. Na Alipendelea zaidi Birhday Cake ya pili akakate na wenzake Shuleni. Ambako itafanyika leo pale badae.

Michael - 6Years - HAPPY Birthday Kaka Maiko


Mdogo wake JJ Akimlisha Cake



Na yeye Akalishwa Cake



Shangazi - huyu dogo naye JJ aling"ang"ania birthday ya kakake naye inamuhusu akalisha watu keki



Baba



Mama akapata kwa JJ



Mama Akalishwa na Michael



Zawadi From Friend Ashraf.

3 comments:

bella said...

jamani how sweet? kuwa na watoto wako kusherekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wako safi sana, na mama watoto wako akiwa hapo mbembeni imependeza sana.

Lizzie said...

Happy Birthday to you Michael, you share your birthday with my son Rahim- he turned 5 so you are 1 year older than him. Kiss kiss!

Anonymous said...

nzuri saana

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA