Mi ni Mmoja wa Washabiki wa Matumla ninashangaa kujua kumbe Yeye ni Shabiki Wangu Namba Moja.Anaufahamu Muziki wangu kuliko nilivyotarajia.
Hii ilikuwa Jana Jioni ambapo CHEKA Ameondoka na Ushindi kwa point kadhaa kama kawaida
MRADI WA SERIKALI , BARRICK NORTH MARA WA UWEZESHAJI WACHIMBAJI WADOGO
TARIME MBIONI KUANZA
-
Wachimbaji wadogo wakiwa na leseni za uchimbaji madini walizopewa wakati wa
uzinduzi wa programu hii mwezi Mei,2025.
**
Tarime: Mradi wa Serikali wa kuwa...


0 comments:
Post a Comment