Thursday, April 14, 2011

RATIBA YA MAPACHA WATATU ALHAMIS 14APRIL MPAKA JUMAPILI 17 APRIL


RATIBA YETU MAPACHA WATATU WIKI HII NI KAMA IFUATAVYO.

LEO ALHAMIS: CLUB CONTINENTAL MJINI

KESHO IJUMAA: MSASANI CLUB TUTAPIGA NA WASANII WAFUATAO 20%; MPOKI ; NA VIJANA KUTOKA ARUSHA..UKISIKIA PAAA...

JUMAMOSI : TUTAKUWA MBEZI NYAMACHABESI

NA JUMAPILI KAMA KAWAIDA MZALENDO PUB. 

SHOO ZOTE ZITAANZA SAA TATU USIKU NA KIINGILIO POTE NI TZS: 5,000/-

KARIBUNI TUCHAKACHUE NA MAPACHA WATATU KIZAZI KIPYA CHA MUZIKI WA DANSI. 

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA