Saturday, April 23, 2011

HERI YA PASAKA WAPENZI WOTE WA JOSE MARA BLOG


.

Heri ya pasaka wapenzi wote wa Jose Mara Blog kutoka kwangu na Familia yangu.

Sitaweza ku update blog kila siku kipindi hiki niko huku na kule kuikimbiza shilingi. Natuma salamu hizi kutoka Bagamoyo. Kesho ntakuwa Mzalendo Pub na Mapacha na Jumatatu Dodoma tuko pamoja.

Basi Niwatakie Pasaka njema wote na Familia Zenu.

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA