Monday, December 6, 2010

USIKU WA DIDIER DROGBA FOUNDATION NDANI YA LONDON


Siku ya Jumamosi tarehe 4 Ndani ya ukumbi wa Grovenor House Mjini London Mwanasoka maarufu Duniani kutoka Africa Didier Drogba aliandaa Hafla ya Hisani kwa ajili ya Kukusanya pesa za kujenga Hospitali Nyumbani kwao.
Hafla hiyo iliyohudhuliwa na Maceleb wa football na wengineo wa kiafrica ilipendezeshwa na show ya Fally Ipupa Dicaprio..


Baadhi ya Wageni katika Hafla Hiyo..Akon alikuwepo

Vitu Vilivyopigwa Mnada kukusanya Pesa

Waalikwa Wakifuatilia matukio kwa karibu


Vijana wa Kiafrica Wakisakata Rhumba za Fally

Mami Yasmin (Asante kwa Picture na Habari) akiwa na Mchezaji wa Arsenal Theo Walcott

Picha Kwa Hisani ya Yasmin Razak..Thanks Sister.

2 comments:

Anonymous said...

Safi sana. Nawaombea na nyie mfikie viwango hivyo

Anonymous said...

Yasmin Razak, You are one beautiful Woman. Uko juu mama

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA