Wadau nimeona kuna Blog Moja Imeandika kwamba Nimefukuzwa Kazi FM Academia. Nakanusha Habari Hizo. Sijapokea hiyo Barua na Juzi nilikuwa na FM kwenye Sherehe ya airtel Pale Mlimani City na jana tulikuwa Maisha Club. FM Academia Nipo. Mapacha Watatu Tupo.
JOSE MARA WA KIMARA....
WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
WILAYANI MALINYI
-
Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa
kuendelea na k...
2 comments:
Mhh watu wapana. sasa yeye huyo kinyaiya alitoa wapi hayo maneno. maana nimesoma kwenye blog utadhani yeye ndiye alipewa hizo barua awaletee. Makubwa. Vipi kuhusu kina chokoraa maana hapa umejisemea wewe tu.
Kinyaiya acha majungu mdogo wangu,pakaa cream utulie
Post a Comment