Wadau nimeona kuna Blog Moja Imeandika kwamba Nimefukuzwa Kazi FM Academia. Nakanusha Habari Hizo. Sijapokea hiyo Barua na Juzi nilikuwa na FM kwenye Sherehe ya airtel Pale Mlimani City na jana tulikuwa Maisha Club. FM Academia Nipo. Mapacha Watatu Tupo.
JOSE MARA WA KIMARA....
SHISAMA YATEMBELEA KAMBI YA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA ONESHO LA MUSEUM ARTS
EXPLOSION
-
*Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania (SHISAMA) Dkt. Cynthia
Henjewele akiambatana na Naibu Katibu Mkuu, Aloyce Makonde, leo Oktoba
15.2026 ...



2 comments:
Mhh watu wapana. sasa yeye huyo kinyaiya alitoa wapi hayo maneno. maana nimesoma kwenye blog utadhani yeye ndiye alipewa hizo barua awaletee. Makubwa. Vipi kuhusu kina chokoraa maana hapa umejisemea wewe tu.
Kinyaiya acha majungu mdogo wangu,pakaa cream utulie
Post a Comment