Wednesday, September 8, 2010

MAZOEZI YA FM ACADEMIA YAZIDI KUPAMBA MOTO


leo tulipata wasaha wa kutembelewa na mdau mkubwa wa bendi ya FM Academia,Jack Pemba katika kambi yetu tunayofanyia mazoezi kule Mbezi Beach.FM Academia wako kambini kwa sasa kwa maandalizi ya shoo babkubwa ya uzinduzi wa albam mpya.
jamaa wakishushia maji baada ya kupiga tizi zito sana kwa ajili ya maandalizi ya albam yetu mpya ya VUTA NIKUVUTE inayotarajiwa kuzinduliwa siku ya idd mossi katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
wanogesha shoo wakiwajibika.

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA