Monday, September 6, 2010

MAANDALIZI YANAENDELEA KAMBINI NJE YA MJI


Wasomaji wa Jose Mara Blog Zoezi huku la uzinduzi linaendelea..ntakuwa kimya kidogo lakini ntawarushia rushia japo habari kidogo. Kwa kifupi Uzinduzi utakuwa Balaaaa...ukitaka kujua kinachoendelea siku nzima nifuate kwenye Twitter Bofya hapo kushoto au ni add @JoseeMaraBlog ntakuwa na twit Live nikiwa kambi.

KUMBUKA NI IDDI MOSI NDANI YA DIAMOND JUBILEE...

0 comments:

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA