Nimetoka Vipi Hapo..Harusini Karimjee siku ya Friday
Bwana na Bi Harusi
Nilikutana Richard wa BBA
Show ya FM academia Makumbusho Jumamosi. Post ya Picha ya shoo hii Badae
BAADA YA MAKUMBUSHO NIKAINGIA FLAVA NIGHT KWA JAMAA ZANGU
DJ Boni Love Kazini
Ben Kinyaia na Kipande cha Mnofu..Mcheki kila Jumamosi TBC 1 katika kipindi cha Ben na Mai Live.
Nikiwa Na Wadau wa Burudani..siku ya Jumapili Palee mahala.. Kutoka Kulia Mkubwa Ben Mulokozi, Mimi, na Wadau
Jumapili Maeneo Flani Nikiwa na Mama yangu Asha Baraka..ha haaaa Hutaki kujua Topic ilikuwa nini au Unaweza Bahatisha?
Fan wangu Na.2. Namba moja wako Fans wa 3 Wamegongana . Ntawaletea picha zao siku moja
5 comments:
Mbona Mizunguko yote peke yako? Mkeo ulimuacha wapi? Maana kila siku unatutolea picha uko out mbona hutoki nae?
Asante kwa Kujali, Lakini mke wangu siku hizi anapenda kutoka kwa kipimo ..Halafu mara nyingine nakuwa nae lakini siweki picha zake mpaka iwe sababu maalum au mnaonaje? Fani pia tofauti. Blog yangu iko ki kazi zaidi. private life kiasi au vipi wadau?
JAMANI NIMEPENDA HIYO HARUSI MBONA UMETUMINYIA PICHA?
Sawa Jose lakini maisha yako private walau kidogo tutafurahia. Wabongo tunapenda sana hizo aluuuu
Hi Jose Mara. I love your Blog. Mbona haujibu mails za fans? Nilikutumia email. Hujanijibu.
Post a Comment