Wednesday, August 25, 2010

MCHUJO WA COMMENTS


NDUGU HII BLOG SIO KIJIWE CHA MAJUNGU NA MATUSI. KAMA UNA TATIZO NA MTU NI BORA UMFATE NA UJITAMBULISHE KWAKE NA UMWAMBIE USONI KWAKE.MAWAZO YA KUKOSEA NA KUJENGA TUTAWEKA. COMMENT ZA MATUSI NA KEJELI KWA WATU HATUTAWEKA.KILA MTU ANA MISIMAMO NA BLOG AU CHOMBO CHAKE CHOCHOTE CHA HABARI. BLOGGERS TUNA UWEZO WA KUZUIA YASIYOFAA KAMA TUNATAKA.UTAKAPOMTUKANA MTU HUMU NIKARUHUSU ITAKUWA NIMEAMUA MIMI KUMTUKANA.


UKIONA COMMENTS ZAKO HAZIJAWA PUBLISHED UJUE HAZITUFAI,SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA NI MSIMAMO TU MWENYE BLOG ALIOJIWEKEA.

NAWAPENDA WOTE....Jose Mara.


NIKO KAMBINI MAZOEZI YA LAUNCH YA ALBUM YA FM ACADEMIA. NIMEGUNDUA KUPOST KWENYE BLOG KUTUMIA MOBILE PHONE YANGU KWA HIYO PAMOJA.

4 comments:

Anonymous said...

safi sana jose watu wanakera sana wanaona bloguni ndio sehemu ya kutusi wenzao.

Anonymous said...

eh wameshakuanzia? karibu kwenye libeneke kaka. wengine tuligombana mpaka na wake zetu kwa ajili ya comment za kipuuzi. kemea kabisa na washindwe

Anonymous said...

la maana hilo kaka maana watu wanaona blog ndio sehemu muafaka ya kuleteana majungu badala ya kupeana ushauri wa kujenga nimeipenda sana hiyo

Anonymous said...

kwa wabongo tegemea sana kitu kama hiko my dia shem
ni kweli watu wenginehawapedi maendeleo ya wenzao ndo maana matusi na majuku kedeked!
lisikutishe shem wewe kazana na wife wako mungu atazidi kuwapisha. jirani temboni

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA