du wakubwa nyie ni wakali mmetoka poa mpaka bac, ila no. 1 kali kulikoooooooooooo.
Anonymous
said...
namba 1 heshima zaid
Anonymous
said...
namba moja iko poa,chokoraa miwani kama mdoli tehetehe..utani tu.namba 2 nzuri sema hizo miwani chokoraa ndio kaharibu zaidi
Anonymous
said...
namba 2 ni nzuri sana hasa hako ka culture chini halafu imewatoa mpk chini na imekaa kisanii (kimuziki) zaidi namba 1 ni nzuri ila imekaa kiofisini sana utadhani sio wasanii
nachagua 2
Anonymous
said...
natapa picha ungekuwa na lile afro..ungetoka bomba.
Anonymous
said...
1 ndo best
Anonymous
said...
no 1 is the BEST....
Anonymous
said...
no 2 ilikua bomba ila miyani ya huyo chokoraa ndio kimeo,badala yake n01 ishike hatamu kama unataka kuweka kwenye cover.
Anonymous
said...
Ya 3 imenikumbusha body suit za nyoshi.cjaipenda kabisa.namba 1 nzuri.
Naitwa Joseph Michael Mponezya au Jose Mara kama ninavyojulikana kwa wengi. Ni Mwanamuziki na Mmoja wa wamiliki wa Bendi ya MAPACHA WATATU.Nimeoa na Nina Watoto Wawili.Karibieni tuburudike
Email: josemarah@gmail.com
Facts The Economist Got Them Wrong on Magufuli
-
*By Dr. Herman Louise Verhofstadt*
* “A BIT like President Donald Trump, Tanzania’s president, John Magufuli,
likes to fire employees on television. In No...
TUNAHAMA
-
KULINGANA NA TEKNOLOJIA NA MABADILIKO YA TEKNOHAMA
....lol nimetumia misamiati ee
YES 8020 FASHIONS SASA TUNAHAMA TOKA HAPA NA TUTAKUWA TUNAPATIKANA HUMU
...
16 comments:
Napenda ya 1 ya pili nzuri kama mngetoa miwani. ya tatu umetokea kitambi tehe tehee
Hamna zaidi? Na 2 ingawa miwani mekundu kaharibu. ni hayo tu
Aaaah Vijana wabaya nyie? Mnauza nyagooo...haya kaka nimewakubali. Uchaguzi wangu Namba 1
No 1, coz mpo smart sana!
shem na. 1 kali zaidi
Namba 1,mmeonyesha sura zenu na mmetoka poa sana!
du wakubwa nyie ni wakali mmetoka poa mpaka bac, ila no. 1 kali kulikoooooooooooo.
namba 1 heshima zaid
namba moja iko poa,chokoraa miwani kama mdoli tehetehe..utani tu.namba 2 nzuri sema hizo miwani chokoraa ndio kaharibu zaidi
namba 2 ni nzuri sana hasa hako ka culture chini halafu imewatoa mpk chini na imekaa kisanii (kimuziki) zaidi namba 1 ni nzuri ila imekaa kiofisini sana utadhani sio wasanii
nachagua 2
natapa picha ungekuwa na lile afro..ungetoka bomba.
1 ndo best
no 1 is the BEST....
no 2 ilikua bomba ila miyani ya huyo chokoraa ndio kimeo,badala yake n01 ishike hatamu kama unataka kuweka kwenye cover.
Ya 3 imenikumbusha body suit za nyoshi.cjaipenda kabisa.namba 1 nzuri.
kwel nyie n mpacha watatu sio sir mmependz
Post a Comment