Monday, August 30, 2010

HONGERA KAKA ELIGIUS SARUNI NA BEATRICE SILAYO


Siku ya Jumamosi tarehe 28 August Bwana Eligius Saruni aliuaga ukapera katika kanisa la Mtakatifu Joseph na baadae sherehe ya kukata na shoka pale Banora Hall
Saruni na wife Beatrice Silayo


Ushers -wasimamizi wa kiumeWadogo zake Eligi.


 Dada wa Bwana Harusi Claudia Tesha akiongoza Maharusi kuingia ukumbuni
Wanakamati-wa Katikati Jirani yangu Joseph Tesha
Wanakamati WIP - Finner,Monica na Vina

3 comments:

Anonymous said...

Hongera Eligi. Ongeza picha za maharusi

MuWIP said...

Aah wadada wa WIP mmependeza! bless you ooooohhh

Anonymous said...

Picha ya mwisho wadada wazuri kwa kweli sana. I Digg

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA