Rais wa Bendi ya FM Academia Nyoshi El- Saadat(katikati) akizungumzia uzinduzi wa Album yao ya sita(6) ijulikanayo kama "Vuta nikuvute". Uzinduzi huo umepangwa kufanyika siku ya Iddi Mosi katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Wengine katika picha ni Meneja wa Bendi hiyo Mujib Khamis(kushoto) na Afisa Habari wa Idara ya Habari Zahra Majid.
SHISAMA YATEMBELEA KAMBI YA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA ONESHO LA MUSEUM ARTS
EXPLOSION
-
*Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Tanzania (SHISAMA) Dkt. Cynthia
Henjewele akiambatana na Naibu Katibu Mkuu, Aloyce Makonde, leo Oktoba
15.2026 ...


3 comments:
I cant wait!
Mnapenda blog hamtaki kuchapisha comments, what is it for? If you cannot print the comment get away from this game, mnarukia tu mambo hamuyawezi
NDUGU HII BLOG SIO KIJIWE CHA MAJUNGU NA MATUSI. KAMA UNA TATIZO NA MTU NI BORA UMFATE NA UJITAMBULISHE KWAKE NA UMWAMBIE USONI KWAKE.MAWAZO YA KUKOSEA NA KUJENGA TUTAWEKA. COMMENT ZA MATUSI NA KEJELI KWA WATU HATUTAWEKA.KILA MTU ANA MISIMAMO NA BLOG AU CHOMBO CHAKE CHOCHOTE CHA HABARI. BLOGGERS TUNA UWEZO WA KUZUIA YASIYOFAA KAMA TUNATAKA.UTAKAPOMTUKANA MTU HUMU NIKARUHUSU ITAKUWA NIMEAMUA MIMI KUMTUKANA.SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA NI MSIMAMO TU MWENYE BLOG ALIOJIWEKEA.
Post a Comment