Nawashukuru wote walionitakia heri katika siku yangu ya miaka mitatu ya ndoa. Najua ni mwanzo lakini ulio na matumaini.Milima mabonde katika ndoa vipo lakini kwa sala zenu na upendo tutafika.
tarehe 14 July nilitoka kwenda ufukweni na familia na baadae Sun Cirro Club ngwasuma lilikuwa likipigwa huko. Jana tarehe 15 nikamalizia ufukweni na badae viwanjani.. enjoy baadhi ya picha.
tarehe 14 July nilitoka kwenda ufukweni na familia na baadae Sun Cirro Club ngwasuma lilikuwa likipigwa huko. Jana tarehe 15 nikamalizia ufukweni na badae viwanjani.. enjoy baadhi ya picha.
Tulianzia home. Kijana wangu Jose Junior alikata na kutulisha keki.
Mimi nikibarizi ufukweni
Mama watoto
Mama watoto
Hapa ni Whitesands Hotel kwenye SPA yao hawa wadada wa kifilipino wanaiweza kazi. Kawajaribu kama unataka facial,massage,waxing kwa wadada,sauna na mengine mengi.
Tunasubiria muda wa appointment zetu za spa.
Muda Wa usiku tulienda Club Sun Cirro Ngwasuma tulikuwepo pale
Namsubiria mwenza anajipodoa
Pale Club hawaruhusu camera. nimetumia simu yangu. Cameraman Wife
Muda Wa usiku tulienda Club Sun Cirro Ngwasuma tulikuwepo pale
Namsubiria mwenza anajipodoa
Safari ya kwenda job kutokea honeymoon ya miaka mitatu.
Mrs.Joseph Mponezya.
Aisee napenda sana kupiga pamba za ukweli. Nadhani nina viatu zaidi ya pair 50 ngoja ntafanya mahesabu nijue. Boot hii REPLAY special zawadi kutoka kwa wifey.
Aisee napenda sana kupiga pamba za ukweli. Nadhani nina viatu zaidi ya pair 50 ngoja ntafanya mahesabu nijue. Boot hii REPLAY special zawadi kutoka kwa wifey.
Pale Club hawaruhusu camera. nimetumia simu yangu. Cameraman Wife
Tulienjoy sana na sasa tumerudi nyumbani kuanza mwaka mpya.
9 comments:
Mmependeza sana kweli ndo mana wanasema unaringa wakimbize
bab kubwa....inatia moyo kaka,best man sipati kazi,si kila siku kuitwa kwenye vikao vya usuluhishi,napenda vikao vya kula bata tu...teh teh teh
Mama JJ Kivazi cha mistari hicho kimekutoa.mambo ya MANGO nilikicheki bongo zinafika? Hongereni miaka mitatu mara imefika? Atu
Safi sana family man.
Oyaa jose mi napenda pamba zako unajua kuvaa kaka si mchezo. hizo buti zimenitoa udenda nazitamani kama vipi tuambie wapi umenunua nikipata black hiyo meake mwana
HongerENI sana na mwenyezi mungu awabariki, mpo juuuuuuu........ wenye wivu wajinyonge, xoxoxo.
W.I.P (WOMAN IN POWER) UMOJA NI NGUVU...... KEEP IT UP WAREMBO ....
mama na digrii zako usikubal kidudu mtu (kilaza) namaanisha no shule kazi kuuza sura na kuchukua wanaume waliopendeza, usiwape nafasi hata kidogo na hivi gym imekubeba shost weee mreeembo na unaju akuvaaa..inapendeza sana kwakweli...(WIP)
Kaka Mungu awape heri ya fanaka napenda unavyo mjali mkeo kifupi nimependa maisha yenu maana niyakuigwa hongeri na labda nikuambie kaka josee ur my role modal.
Post a Comment