Wednesday, July 14, 2010

NATIMIZA MIAKA MITATU YA NDOA


Tarehe 14 July 2007 ndio siku ambayo nilifanikiwa kuuaga ukapera kwa kufunga pingu za maisha na mwenza wangu wa maisha, Nyonga mkalia Ini, Laaziz wangu,rafiki yangu,mke wangu kipenzi Monica au Mama ya Bana.

Naomba mungu atuzidishie upendo,heshima na kujaliana tuendelee kuihesabu miaka ya ndoa yetu mpaka kifo kitakapotutenganisha.

I LOVE YOU MY WIFE
Nikiimba wimbo maalum kwa siku yetu
Picha na wasimamizi wetu Collins na Beatrice
Tukiwa katika ufungunzi wa Mziki-First dance na tabasamu la furaha

14 comments:

Anonymous said...

kwanza nakupa pongezi sana mungu awajalie maisha marefu yenye mafanikio zaidi na zaidi, pili nakufagilia wawaaaaa yaani huwa nakuadmire sana tokea uko borabora sound una sauti nzuri sana, tatu huna tabia kama wanamuziki wengine wa kibongo hongera sana.

Kibwana said...

Hongereni sana. Inaonekana mnapendana. Picha chache mbona tumwagie za haja.

Anonymous said...

Unafuata maadili ya ndoa lakini? maana mkipata kaumaarufu kadogo tu mnajaza nyumba ndogo.hongera

Anonymous said...

Hongera sana Josee na Monica. Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu. Mungu akazidishe upendo kati yenu, na familia yenu ikawe na furaha daima.

Bertha

Anonymous said...

Monica my mdogo and Josee shemeji yangu I pray that you will live to see your grandchildren together. Let your love grow even more now than before. HONGERENI sana na tutakuwepo kuwapa hongera miaka 50 ya ndoa. stay blessed

Da Lolo

Anonymous said...

hongera sana mama junior MUNGU awaepushe na mabaya yote.mi lidia uwate

Lulu on July 14, 2010 at 3:33 PM said...

Hongereni Jose na Monica. Mungu awatangulie katika ndoa yenu na mkawalee watoto wenu katika maadili.

Anonymous said...

Mzingatie yote mliyoaswa na wakuu wenu na ndoa yenu itadumu
hongereni saana mumepeneza saaana wenye wivu wajinyonge

Anonymous said...

hongereni sana mungu atawalinda kwa kua kila siku tunawaombea wanandoa waishi uzuri katibu wa uwate

Anonymous said...

Hongereni sana, Mungu alinde ahadi yenu

Flower said...

Happy anivessary guys!!Nawatakia kila la kheri katika ndoa yenu.Godbless.

Anonymous said...

hongereni sana dear monie na my shem Jose.God bless.

rouqia.

Anonymous said...

Jose Mara una mke muzuri sana. Kitoko wana eehhh. lini unakuja Dubai nitafute..MUne

Anonymous said...

Hongeleni mmependeza sana.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA