Maimartha wa Jesse na swahiba wake Ben Kinyaia wameanzisha kipindi TBC 1 mambo ya Live. Jumamosi hii kulikuwa na Wazee wa ngwasuma, H Baba na wengineo kibao pale studioni. Kipindi kitakuwa kinarushwa kila Jumamosi saa 12 jioni. Bonge la show hongereni sana Vijana. Pamoja tunaliviringisha gurudumu la Burudani.
JUBILEE INSURANCE WAZINDUA OFİSİ YAO MPYA FAYKAT TOWER
-
Na Mwandishi Wetu
JUBILEE Insurance (Jubilee Life na Jubilee Health) leo Novemba 17,2025
wamezindua rasmi ofisi yao mpya iliyopo ghorofa ya tatu jengo l...


0 comments:
Post a Comment