Thursday, January 6, 2011

NYUMA YA PAZIA SHOOTING YA "MUHUDUMU" NYIMBO YA MAPACHA WATATU


Katika Album Yetu ya Mapacha Watatu "JAsho La Mtu" Kuna Nyimbo Moja inayoitwa Muhudumu...Ni balaa.Kama Hujapata Album yako wahi Mwananchi Wasambazaji halafu uisikilize. Ukija kuona Hii Video yake Utaniambia...
Baadhi ya Vipande katika Video hiyo hivi hapa Chini:



Chokoraa Akiwajibika


Jose Mara Nawajibika


Hii niliipenda sana shooting ya Kilaji..safiiii

Kalala Junior akiwajibika

Wanasema hii Pantaloo (trouser) ya junior hata LOFOMBO Hana..

Ilikuwa Shooting ya raha..


3 comments:

Anonymous said...

Naisubilia video kwa hamu sana. Kalala junior ze comedy sana ha haaa

Anonymous said...

Jose nilikuja shoo yenu ya jumanne pale star club coco beach sikuamini nilipoona. Mko juu saana. Achana na FM muimarishe bendi yenu ni hatarii. nimeaga rasmi uteja wa fm na twanga.miziki iko mapacha

Anonymous said...

kweli kuna watu huwa ni washauri wabaya,kwanini achaane na bendi?kama anaweza kufanya kote kuwili?ndio nyie ambao mkifanikiwa kidogo tu mnasahau mlikotoka,we ungemjua bila fm?josee achana na washauri wabaya shikilia kote.

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA