Thursday, January 13, 2011

MAPACHA WATATU SHOW YA J4 MKESHA WA MAPINDUZI -STAR COCO CLUB


Kwa kweli tunamshukuru Mungu na Wadau wetu wote kwa support mliyoonyesha. Show ilikuwa nzuri,Watu wazuri na Wastaarabu. INATIA MOYO

Na huyu ndio Raisi wa Bendi ya Mapacha watatu Allain Kiso Akionyesha Ujuzi
Ilikuwa Birthday ya Shemeji yangu Ummy..Pamoja mamaa Mungu akuweke miaka mingi zaidi

Mrembo Vina

Sabrina na Ashura Macheni

Mnenguaji mpya wa Mapacha akiwa na Mdau Rehema Kilivia

Collins USA na Wife Mama Vero

Good People..

Mama Vero Na Mama Jose Mara

Mai wa Jesse...




Wadau

Tulimtambulisha Mnenguaji Mpya anayeitwa Sabrina-hapa akisalimia wageni

6 comments:

Anonymous said...

Du...Mapacha mko juu,wastaarabu wote wa mjini mliwakusanya,na kitu nilichogundua,vijana wameamua maana mmewakusanya wote,hakika ni band ya New genaration......sie tulikuwa pale mzalendo mambo yakachelewa kuanza sijui vyombo vilisumbua sijui ni nini basi tu mazoea yana tabu....hongereni ongezeni bidii

Anonymous said...

Pendeza sana Mama JJ kawa kawaida yako.

Anonymous said...

Duh!!!!!!!!! miguu ya shemeji yako na mini mh!!!!!!!!!!!!! mashallah!!!!!!!!

Anonymous said...

Happy Birthday Ummy Mwinyi

Anonymous said...

Shemeji ana mguu wa chupa ya Bia. Beautiful.

Anonymous said...

Josee Ambia hao dadas Mikorogo wapunguze sasa, wanakuwa sa Mikael Jakisoni

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA