Tuesday, January 11, 2011

HAPPY BIRTHDAY MY SON JJ


Jana Tarehe 10-01-11 Mtoto wangu wa pili Josepj Jr. Katimiza miaka mitatu ya kuzaliwa. Alisherehekea birthday yake shule ni kwake na wenzake.
Namshukuru mwenyezi mungu kunikuzia na kumfikisha hapo alipo, Akukuze mpaka uje upate watoto na wajukuu na wewe.Happy birthday JJ. Nakupenda sana


Birthday Boy JJ

Cake yaken ya Tom & Jerry..

Marafiki zake High Table

Classmates na Teacher

Make a wish..

Kata Cake Tulee..

Kamlisha Mama kwanza

Akafuata Baba

Halafu Best wake

Teacher Byabato

Baba Nikimlisha Mwanangu

Hii imetoka Vibaya..Baba , Mama na class

Aliienjoy sana ..Mpaka Usiku bado Anaimba Happy Birthday To Youu...

3 comments:

Anonymous said...

Mungu awakuzie kwa kweli

Anonymous said...

Monica Umekuza shoga hongera. Happy Birthday mkwe JJ

Anonymous said...

Happy Birthday JJ.Adorable!

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA