Wednesday, June 16, 2010

KARIBUNI KATIKA BLOG HII YA JOSEE MARA


Wapenzi wa Muziki na wadau wote popote pale mlipo,Napenda kuwakaribisha katika Blog yangu hii ambayo ni mpya kabisa.Najaribu na nina imani kuwa support ndio itafanya Blog hii iweze kudumu milele na milele.Naomba kushare nanyi mawazo,matukio na chochote kile kinachonihusu Kiburudani.

Karibuni Sana na naamini kuwa Pamoja Tutaweza.


4 comments:

Anonymous said...

Safi sana kaka. wakilisha tuko pamoja. napenda sana Sauti yako Jose sana tu wangu

Anonymous said...

Thanks tupo pamoja ,twahiru hapa Houston,texas salaam kwa familia pia kapinga.

Anonymous said...

tuko pamoja ukizingatia wewe ni kipenzi cha watu
ukitaka umfikie Fally Fara.. nk jitume sana usijibwetwkw hasa ukiwa jukwaan tuyaone mauno kwa sababu kama ni kuvaa unamkaribia Fally...hahaha

Anonymous said...

Tumekaribia.ila unaonaje kila unapoenda kupiga show uwe unawakumbusha wadau kutembelea blog yako. Grayson mpenzi wa ngwasuma za bongo na kongo

 

JOSE MARA © Copyright 2010 All Rights Reserved . Developed by MTAA KWA MTAA